Kwakuwa sijui lolote kwenye tozo za Zakayo, labda tu nikupongeze kwa kuongeza idadi ya wanaume wa Jf wanao miliki magari.
Hongera sana mkuu...
Hili hapa mkuu....Kwani wewe huna gari mkuu?
Kwa kuliona hili na mangine mengi, ndio sababu tulianzisha kampuni ya uagizaji Magari ili kuwarahishia ndugu zetu muagize magari bila stress. Ukiagiza nasi ushuru hautaongezeka hata 100, hutalipishwa gharama ya ziada nje ya CIF, Ushuru na gharama za bandari, hutapoteza mda wa kazi kwa kuhangaika na hizi process.Habari ndugu zangu. Naomba kufahamishwa kuhusu:
1. Muda wa kulipia clearance na ushuru bandarini tangu gari uliyoagiza nje iripoti.
2. Muda wa na adhabu endapo nitazidisha muda wa kulitoa gari bandarini.
Nawasilisha.
Mkuu nishaagiza gari tayari ila kuna dalili za kuchelewa kulipia cif na ushuru..... Adhabu nauliziaKwa kuliona hili na mangine mengi, ndio sababu tulianzisha kampuni ya uagizaji Magari ili kuwarahishia ndugu zetu muagize magari bila stress. Ukiagiza nasi ushuru hautaongezeka hata 100, hutalipishwa gharama ya ziada nje ya CIF, Ushuru na gharama za bandari, hutapoteza mda wa kazi kwa kuhangaika na hizi process.
Kikubwa zaidi, ikitokea umekwama kupata kiasi cha kulipia ushuru, sisi Kimomwe Motors tuna utaratibu wa kumsapoti mteja. Mikataba ipo na unakaribishwa sana ututume
Piga 0746 267740 au fika ofisini kwetu Magomeni Mapipa
Baada ya hapo itakuwaje ndugu?