Mtoto wa Mbwa
Member
- Apr 29, 2012
- 6
- 1
Mimi ni kijana wa miaka 26, mara nyingi nakuwa na urafiki na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 35. Hata wao nawaona wana enjoy kuwa na mie kwa kubadilishana mawazo na masualaya kirafiki. Lakini napokuwa na agemets wangu tunapishana sana mawazo, hata suala la mahusiana naenjoya zaidi nikiwa na mtu anaenizidi umri, tatizo nini??? :fear:
Tatizo wewe si mtoto wa mbwa, kama jina lako lilivyo.Mimi ni kijana wa miaka 26, mara nyingi nakuwa na urafiki na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 35. Hata wao nawaona wana enjoy kuwa na mie kwa kubadilishana mawazo na masualaya kirafiki. Lakini napokuwa na agemets wangu tunapishana sana mawazo, hata suala la mahusiana naenjoya zaidi nikiwa na mtu anaenizidi umri, tatizo nini??? :fear:
madam hiyo pic yako duuuuu...........nimeipendaWao ndio walikwambia hivyo kuwa wanaenjoy company yako? Inawezekana saa nyingine kuna sababu kuwa wanafanya hivyo for a change. Wewe hudhani kama wanafanya majaribio na katoto ka umri sio wao, both physical and mental.
Hiyo ni kawaida kwa mpenzi anayekuzidi umri, siku zote wana-treat vizuri sana, kwani wanahofu wakicheza kidogo tu, unaweza kuwakimbia na kuwafuata wa umri wako. Usipokuwa makini hautaweza tena kuwa na mpenzi wa umri wako, hawa wa umri wako hawajui/hawapendi kubembeleza kwa sana. Pia watu wazima wanaogopa kukuelezea matatizo yao hasa ya kiuchumi, lkn dogodogo kwa mizinga, usipime. Hapo ndipo unapoona raha ya waliokuzidi ki umri.