Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ukifuatilia Press conference za Godbless Lema kwa wiki nzima, hazina impact yoyote kisiasa kwenye kumuongezea Tundu Lisu kura za wajumbe wa mkutano mkuu na hatimae kumfanya awe mwenyekiti wa chadema Taifa,
Ispokua zinasaidi pakubwa, kummpambanua Lema mwenyewe ni mtu wa aina gani.
Kwasababu ni vizuri kuweka record sawa, hivi mtu aliekataliwa, asiekubalika na alieshindwa kusimamia hata uchaguzi wa kanda yake tu ya Kaskazini, Tundu Lisu anawezaje kumuamini na kumfanya awe kampeni meneja wake, ambae pia ndio msemaji wake?
Huku si kujitakia fedheha za wazi wazi kabisa ndrugo zangu?
Lema atamshawishi nani na akakubali bana?
Yaani mtu alieshindwa uongozi na akakimbia ndio akusaidie wewe ushinde uchuguzi?
Tazama sasa anamuyumbisha mtu wa watu, mara atoke sijui wapi, na aende wapi kuna tatizo akasaidie, sasa mwishowe si atakuta uchaguzi umeisha na matokeo yametangazwa tayari?
Lema acha kumpumbaza na kumuyumbisha Lisu, unampoteza maboya atakosa vyote vibaya sana kesho.🐒
Mungu Ibariki Tanzania