Kushindwa kwa TCRA kudhibiti Simu feki ni ushahidi kuwa TRA na TBS zimesinzia Kabisa

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana JF,

Vyombo muhimu vya serikali vyote kwa pamoja vimeshindwa kudhibiti Simu feki hivyo kuongezeka kwa uharifu pamoja nakuikosesha serikali mapato.

Kazi ya kudhibiti bidhaa feki ni ya TBS kazi ya kukagua uingiaji bidhaa halali kutoka viwanda vinavyotambulika na kutoza kodi ni TRA. Tra wameshindwa kudhiti chocholo zote bidhaa zinapita bila kulipa kodi.

Simu feki (dublicate) kwa sasa ni nyingi baada ya kugundua kuwa TBS na TCRA macho yote yako kwa smartphone. Wakaachana na visimu vidogo vinaitwa feature phone.

Hivi Kariakoo vimejaa kinoma. Hata kwa sasa smartphone feki nyingi mno, maeneo ya Posta na lumumba watu wanaumizwa mno. Cha kujiuliza hizi sehemu hawazijui au wanakula nao.

Hasara za Simu famba, spare hazipatikani, ni rahisi kubadiri utambulisho wa Simu kwa kutumia command za mkono bila kwenda kwa fundi wala kutumia computer.

Jeshi la Police lina wakati ngumu kwani watumiaji wanaweza kufanya matukio na kubadiri utambulisho Wa Simu kupoteza ushahidi. Hizi Simu zinatumia xchipset EMMC ambayo security yake nyepesi sana kueditiwa unavyotaka.
 
Tisi ara ei nasikia wakati wa uchafuzi walizima mitwandao halafu wakashindwa kuwasha mpaka ukaombwa msaada abroad....!
 
Wana JF,

Vyombo muhimu vya serikali vyote kwa pamoja vimeshindwa kudhibiti Simu feki hivyo kuongezeka kwa uharifu pamoja nakuikosesha serikali mapato.

Kazi ya kudhibiti bidhaa feki ni ya TBS kazi ya kukagua uingiaji bidhaa halali kutoka viwanda vinavyotambulika na kutoza kodi ni TRA. Tra wameshindwa kudhiti chocholo zote bidhaa zinapita bila kulipa kodi.

Simu feki (dublicate) kwa sasa ni nyingi baada ya kugundua kuwa TBS na TCRA macho yote yako kwa smartphone. Wakaachana na visimu vidogo vinaitwa feature phone.

Hivi Kariakoo vimejaa kinoma. Hata kwa sasa smartphone feki nyingi mno, maeneo ya Posta na lumumba watu wanaumizwa mno. Cha kujiuliza hizi sehemu hawazijui au wanakula nao.

Hasara za Simu famba, spare hazipatikani, ni rahisi kubadiri utambulisho wa Simu kwa kutumia command za mkono bila kwenda kwa fundi wala kutumia computer.

Jeshi la Police lina wakati ngumu kwani watumiaji wanaweza kufanya matukio na kubadiri utambulisho Wa Simu kupoteza ushahidi. Hizi Simu zinatumia xchipset EMMC ambayo security yake nyepesi sana kueditiwa unavyotaka.
Sasa unapolazimisha pitisha bidhaa bandari zisizo rasmi unategemea nini? Hebu pitisha njia rasmi hizo bidhaa feki uone kama zitapita.Tusiwe tunapenda laumu kila kitu serikali wakati mwingine ni sisi wenyewe tunafanya kwa kificho.Tuache fanya biashara za magendo
 
Back
Top Bottom