franknombo
Senior Member
- Mar 30, 2019
- 170
- 177
Habar wadau HV ikitokea Chelsea amechukua Europa league na wakat yupo top four je uingereza watatoa tm ngap kwenda uefa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhan sheria ya uefa ni 4;znatkiwa kama itatokea arsenal atachukua europa hapo alieshika namba 4 hatoshirk ataipisha arsenal ili kutimiza idadi ya timu 4 sheria imebadilshwa zaman iliwezekana kwenda tano
Huu Ni uongo mkubwa kuwahi kutokea kwenye tasnia ya Soka. Kama hujui Jambo uliza.Nadhan sheria ya uefa ni 4;znatkiwa kama itatokea arsenal atachukua europa hapo alieshika namba 4 hatoshirk ataipisha arsenal ili kutimiza idadi ya timu 4 sheria imebadilshwa zaman iliwezekana kwenda tano
Huu Ni uongo mkubwa kuwahi kutokea kwenye tasnia ya Soka. Kama hujui Jambo uliza.
Iko ivi......ikitokea Arsenal akashinda Europa zitaingia timu 5. Yaani arsenali anaingia kwa mgongo wa Europa cup.
Ila Kama Liverpool akichukuwa Ucl na yupo either nafasi ya tano ama ya 7 kwenye ligi. Anaingia Kama bingwa mtetezi na timu ambayo ipo nafasi ya 4 kwenye lingi anampisha.
Ww ndye hujui kabsaNadhan sheria ya uefa ni 4;znatkiwa kama itatokea arsenal atachukua europa hapo alieshika namba 4 hatoshirk ataipisha arsenal ili kutimiza idadi ya timu 4 sheria imebadilshwa zaman iliwezekana kwenda tano
Je kama liverpool achukue Uefa na angekua nafasi ya 6 kwenye ligi, ingekuaje mkuu?Huu Ni uongo mkubwa kuwahi kutokea kwenye tasnia ya Soka. Kama hujui Jambo uliza.
Iko ivi......ikitokea Arsenal akashinda Europa zitaingia timu 5. Yaani arsenali anaingia kwa mgongo wa Europa cup.
Ila Kama Liverpool akichukuwa Ucl na yupo either nafasi ya tano ama ya 7 kwenye ligi. Anaingia Kama bingwa mtetezi na timu ambayo ipo nafasi ya 4 kwenye lingi anampisha.
Kumbuka vzr 2012 Chelsea alichukua ubingwa akiwa ktk 6 lkn alishiriki UEFA CHAMPIONS LEAGUE kama kawaida 7bu alikuwa ni Bingwa mteteziJe kama liverpool achukue Uefa na angekua nafasi ya 6 kwenye ligi, ingekuaje mkuu?
Umesoma vizuri hilo swali?Zinaingia timu Tano. Hata kama Chelsea atachukua Uropa. UEFA haipangii nchi sheria ya kuchagua timu za kuingia kwenye mashindani yake. Yenyewe inapanga idadi kwa kila nchi kulingana na utaratibu wake.
Nchi wanachama watajua wenyewe wanapataje timu za kushiriki CL.
Kwa hiyo kama chelsea ikichukua uropa mshindi wa Tano atacheza CL.
Bhange hiziZinaingia timu Tano. Hata kama Chelsea atachukua Uropa. UEFA haipangii nchi sheria ya kuchagua timu za kuingia kwenye mashindani yake. Yenyewe inapanga idadi kwa kila nchi kulingana na utaratibu wake.
Nchi wanachama watajua wenyewe wanapataje timu za kushiriki CL.
Kwa hiyo kama chelsea ikichukua uropa mshindi wa Tano atacheza CL.
Chelsea leo hatoki.Ngolo Kante hayupo,hii ET wanapigwa kirahisi sanaJambo la msingi hapo asernal atoe rushwa kwa Chelsea over
Chelsea leo hatoki.Ngolo Kante hayupo,hii ET wanapigwa kirahisi sana
Hivi kama Liverpool angekuwa yuko nafasi ya Cardiff City (yaani kashuka daraja) halafu fainali akamtwanga Tottenham na kuchukua ubingwa,atashiriki Champions League akiwa anacheza Championship ya England??