Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

yah!
unawezekana kabisa

at least kupunguza kazi za nje

KAZI ZA NJE zinakufanya uwe bize sana halaf ''for nothing'' kwakuwa in a long run WANAWAKE NI WALE WALE....!hakuna kitu kipya sana utakikuta huko nje
 
Sasa mkishakutana na Eliza, kuna kula tena wali kwa ubinzi wa mama matesha?
hehehehe!
we mpwa sikiliza bana

pamoja na NDOA,you still need friends to hold your hand,or give you a ladder to climb.

ni kuugawa muda wako tu na kujua leo unafanya nini na kesho unafanya nini!

I THINK EVERYBODY NEEDS A TIME WITH HIS FAMILY.....!na marafiki pia

do some partitioning
 
Huyu dogo jana alikuwa na dozi ya panadol akawahi home kula na mkewe, leo tutamkoma.
 
kwanini isiwezekane?
 
There you go!!! It all depends how you plan including timing
 
Ushauri mzuri Teamo, naamini inawezekana endapo utaupangilia muda wako vizuri. Ikishindikana basi angalau wakati wa weekend.
 
Hahahaha

Haya:
Leo unakuwa na marafiki wa JF...wanywa bia na kitimoto
Kesho unakutana na marafiki majirani: Wanywa bia na mbuzi choma
Keshokutwa unakutana na maskulimeti: Wanywa konyagi na makongoro
Siku inayofuata zamu ya Infii: Bia, maini na kitanda
Then unakutana na workmates: Bia, porojo, blah blah, mkia
Siku nyingine twenzetu shamba...unakutana na Acid na Teamo....bia, poo table nyama
Siku nyingine..........

Hivyo hivyo unajikuta wiki imekata. Kina mama wanalazimika kutusamehe na kutuelewa.
Tuna ratiba ngumu sana.
 
Ushauri mzuri Teamo, naamini inawezekana endapo utaupangilia muda wako vizuri. Ikishindikana basi angalau wakati wa weekend.
yah!
unaweza ukakosa kabisa weekdays lakini ukaamua wekend yako kuspend na familia for chakula....

i tell you guys THERE IS A MEANING TO IT!...kuna maana kubwa sana ya kufanya hivyo
 
I second you Teamo.......pia kumbukeni kusali pamoja kabla ya kula......
BTW: It feels good kuona watoto wako wanavyokula......
 
Leo Babu umeamua kunichekesha kupita kiasi nimecheka mpaka nimezimia kwa hii post
 
I second you Teamo.......pia kumbukeni kusali pamoja kabla ya kula......
BTW: It feels good kuona watoto wako wanavyokula......

Oyaa we dogo unamaanisha chakula gani hapo?
 
no no noooooo!
i ain't comply with that timetable.....!

YOU BETTER PUT THAT WOMAN AND A FAMILY FIRST....!

hizo makitu mingine hizo noooooooo!

ni hatari sana kuzifanya nyumba zetu kama SEHEMU YA KULALA TU (guest house),yani tukifika tu ni kuoga na kulala,tena kukoroma kwa nguvu
 
I second you Teamo.......pia kumbukeni kusali pamoja kabla ya kula......
BTW: It feels good kuona watoto wako wanavyokula......
aisee ni muhimu sana kusali kabla na baada ya kula,
na kuona watoto wanapokula inalipa sana
 
hahahahahahahahahahahhahahaaha
 
yah!
unawezekana kabisa

at least kupunguza kazi za nje

KAZI ZA NJE zinakufanya uwe bize sana halaf ''for nothing'' kwakuwa in a long run WANAWAKE NI WALE WALE....!hakuna kitu kipya sana utakikuta huko nje

Kipya ni Tigo utaipata nje ndani sooo au???
 
yaani mkuu kuwahi jana kidogo tu na ukala dinner na familia basi ndo tabu yote hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…