Kushiriki mapenzi ya kinyume na maumbile ni kosa kwa mujibu wa sheria

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k

Kasi ya uovu huo inatisha kote nchini. Imefikia mahali imekua kama fashion. Usipofanya huo uchafu mnapokua faragha unaonekana wewe ni mshamba.

Je, nini hasa huchochea vijana wa kike na kiume wasio na maadili kutenda kosa hilo la uchafu la kuingiliana kinyume na maumbile?

Kama mdau wa jukwaa hili muhimu sana,

Unashauri nini kifanyike au mbinu gani itumike walau kupunguza kasi ya hali hiyo ya fedheha na utovu wa kimaadili kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo?

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mapenzi kinyume na maumbile kuna dini inasema ni Sunna, yaani mara chache chache sio mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…