kushiriki riadha kili marathoni

Locci

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
1,002
Reaction score
824
habari wakuu!!hope ni wazima wa afya njema...
wadau mimi ni mdau wa jogging na mazoezi kwa ujumla nimekuwa nikifanya mazoezi mbalimbali hasa kukimbia sasa juzi hapa nimeangalia hii kili marathon kwa kweli nimehamasika kushiriki sasa naombeni mnijuze ABC za hizi marathon
1.vigezo wanavyohitaji niwe navyo ili kushiriki
2.je,hufanyika kila baada ya muda gani??
3.kwa hapa dar nifike sehemu gani ili nipate info zaidi
n:b kama kutakuwa na wahusika zaidi wa hii kili marathoni naombeni msipite bila kuchangia....ahsanteni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…