Kushirikiana biashara

kamikaze tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
232
Reaction score
174
Habari zenu wakuu

Kama hapo juu panavyojieleza, mimi ni mfanyabiashara wa mbao kutoa mafinga kupeleka dar es salaam, nahitaji mtu wakushirikiana nae mwenye ujuzi wa kutafuta masoko, hata kama yeye hana mtaji wa pesa, kwani mtaji wake yeye ni kutafuta masoko. Na ninakampuni imesajiliwa. Alietayari aje PM wakuu tushirikiane kusukuma maisha
 
Kwa hapa Dar store yako ipo wapi mkuu?? weka namba yako tuangalie namna gani tunaweza kufanya kazi
 
Una uza bei gani mbao za 1*6 mm ni mnunuzi sana wa hizo mbao.. Kama bei yako ipo poa naimani tutafanya sana biashara..pia naweza kukuulizia kwa bosi wengine wanao taka mbao za kupaua nicheki kwa namba hii 0754660061
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…