FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kuna baadhi ya wanawake huwa wanatoka chicha tu wanaposukia nywele za bandia kichwani, infact huwa wanaonekana quite natural tu.
Sasa kuna wale ambao huwa wanazishonea hovyo hovyo kiasi kwamba ukiangalia unaona kabisa kuna likitu limebandikwa hapo kichwani, to make matters worse anabandika mikope mirefu ajabu,
Halafu anachonga nyusi kama paka sijui, alafu anapakaa mi-shadow hapo machoni kama jini, kama haitoshi anapakaa lipstick utasema vampire ametoka kunywa damu.
Jamani, namna hiyo mtu unakuwa kama jini kabisa, infact people could mistake u for a prostitute, embu tuwe makini na hili.
Mwenye picha tafadhali atuwekee.