marko maluli Senior Member Joined Mar 14, 2015 Posts 164 Reaction score 49 Apr 5, 2015 #1 je kupanga matokeo ya shule za sekondari ktk mfumo wa GPA ni kupanda au kushuka kwa kiwango cha elimu nchini
je kupanga matokeo ya shule za sekondari ktk mfumo wa GPA ni kupanda au kushuka kwa kiwango cha elimu nchini
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Apr 5, 2015 #2 gpa inaonesha utofauti kati ya ufaulu wa mwanfunzi mwenye 1:14 ya Bflat anakuwa tofaut na yule mwenye 1:14 yenye A ndani yake .kwaiyo kaz ni kukoktoa division tu hakuna kupnd wal kushuk kwa elimu .. yote sawa tu
gpa inaonesha utofauti kati ya ufaulu wa mwanfunzi mwenye 1:14 ya Bflat anakuwa tofaut na yule mwenye 1:14 yenye A ndani yake .kwaiyo kaz ni kukoktoa division tu hakuna kupnd wal kushuk kwa elimu .. yote sawa tu