Hilo lawezekana pia kwani kama hawatengenezi mazingira mazuri ya waalimu, na wanafunzi ni siasa ndio chanzo,
Kwani kama nchi lazima iliangalie sana swala la elimu.
Kuna mashrooms za academy ambazo sijui ni watanzania wangapi wanaafford, not that na shule zetu za kayumba hata hapa bongo tu watoto wanakaa chini na waalimu ni wachache,
Elimu sio sawa na kuswaga ng'ombe ni connection kati ya mfundishwaji na mpokeaji sijui hiyo ratio imekaaje.
Siasa inachangia.