Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo siri kwamba kushuka kwa kiwanja cha elimu mashuleni kunachangiwa pia na kushuka kwa kasi sana kwa nidhamu ya wanafunzi. Wanafunzi enzi hizi hawaadhibiwi kwa viboko baada ya serikali kufuta adhabu ya viboko mashuleni. Sisi tuliosoma zamani nidhamu ilikuwa inadumishwa na viboko na wanafunzi walikuwa hawana mtetezi yeyote wa kuwatetea kutokana na adhabu hiyo. Kiwango cha nidhamu na elimu enzi hizo kilikuwa cha juu sana ukilinganisha na sasa. Hivyo kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, leo namuunga mkono mlugo kwa hilo la viboko na la kupiga marufuku matumizi ya simu kwa wanafunzi.Naibu waziri wa elimu Mh. Mlugo amesema serikali iko katika mkakati wa kuruhusu viboko mashuleni na kupiga marufuku simu kwa wanafunzi wawapo mashuleni (Startv saa 2 usiku). Je hilo litakuwa suluhisho la kushuka kwa kiwango cha elimu nchini??
kama viboko vinaleta akili sijui punda wangekuwaje
Naibu waziri wa elimu Mh. Mlugo amesema serikali iko katika mkakati wa kuruhusu viboko mashuleni na kupiga marufuku simu kwa wanafunzi wawapo mashuleni (Startv saa 2 usiku). Je hilo litakuwa suluhisho la kushuka kwa kiwango cha elimu nchini??
Hili nalo jambo!