John locke
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 836
- 1,288
Habari zenu wanajamvi!
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, na mnaendelea na shughuli za kila siku za kuijenga nchi yetu ya Tanzania.
Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo juu.
Mwanzoni mwa mwezi wa pili mwaka huu nilifanya manunuzi ya kompyuta mpakato kwa gharama ya kama £400.
Seller wangu alifanya utaratibu wa kuisafirisha lakini alishidwa kuisafirisha. Nikaongea nae akasema nimuongezee pesa ili aangalie njia nyingine ya kuisafirisha. Muda ukawa umenda mwisho wa siku nikaamua ku cancel ile order.
Basi nikawa nasubiri refund yangu kutoka PayPal. Nilisubiri refund ikagoma, sijui seller hakuwa na pesa kwenye account yake
.
Basi nikawa namtumia message hanijibu. Nikafungua case eBay, 45 days za guarantee ya eBay buyer protection zilikuwa zimepita. Hivyo sikuweza kupata msaada direct kutoka kwa eBay. Mwisho wa siku mwezi wa 5 nikafungua case ya madai PayPal kupitia PayPal resolution center nashukuru nilishinda na refund imefanyika tarehe 17 mwezi huu.
The good newz
Nilichogundua ni kuwa PayPal wamenirudishia net amount ambayo wali deduct kutoka kwenye account yangu kipindi nafanya manunuzi. Ile amount ambayo imeongezeka baada ya kufanya convention ya currency kutoka Pound to Tsh ipo kwenye account yangu ya PayPal ambayo ni kama $100.
The bad newz
Nimejaribu kufanya manunuzi eBay na hii $100 balance ya PayPal nimeshindwa.
Kuna mtu anaweza kuniambia namna gani naweza exploit hii balance yangu mpya katika account ya PayPal?
Ahsanteni!