Kushuka kwa ubora wa ligi kuu Ya Tanzania walaumiwe Bodi ya ligi na TFF kwa kuwachekea marefa wanaochezesha hovyo kwa kuzilinda Simba SC na Yanga Sc

KWA HIYO UNATAKA KUSEMA LIGI YETU INASHIKA NAFASI YA KWANZA
 
SImba Sports Club
Young African Sports. Hakuna club mbele ya jina
 
Lawama zako ziko one-sided kwa vile huangalii kuwa nchi zilioishusha Tanzania zimefanyaje. Kwa mfano isingekushangaza kwa South Africa kuishusha Tanzania ngazi moja kwani hata mwaka jana walikuwa sikio kwa sikio; safari hii ligi ya SA imepnda wakati ligi ya Tanzania haikupanda.

Nchi nyingine zilizopanda kuishusha Tanzania kidunia zote zimepnda lakini siyom kuwa Tanzania ilitelemka, yaani status ya Tanzania haikubadilika wakati status za wengine zilikuwa chanya, na vile vile kuna nchi ambazo zilikuwa hasi.
 
Wa kulaumiwa ni wale wanaojiita timu kubwa Africa halafu wanapigwa tano na timu ya wananchi
 
Alaumiwe Walezi Kalio
 
Ingia siku moja ugawe pasi pale Waone mfano Ukate mzizi wa fitina
 
Hizo ulizotaja ni sifa za wachezaji wetu wazawa maana kwako Mpira ni kama sehemu ya kujifurahisha Tu na sio KAZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…