MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Huwa siangalii sana michezo ya timu za shirikisho, Ila baada ya kuwa nimeketi sehemu nikipata kinywaji nikaona watu wakitazama mpira wa Simba hivyo kwakuwa nilikuwa nimeketi na TV ikiwa mbele yangu, Hivyo nikajikuta nalazimika kutazama.
Baada ya kutazama mchezo huo nimegundua mambo machache, Kwanza ukiacha ubovu wa timu za shirikisho, Simba hakuna timu, Mpira unaochezwa bado ni wa kiwango cha chini mno! Si bure inashiriki shirikisho na timu zisizofahamika Afrika.
Kusua sua kwa Yanga, kunaifanya Simba ionekane inacheza mpira mkubwa ila kiuhalisia bado sana!. Ushindi unapatikana ila zaidi ya 80% ya magoli yanayopatikana Simba ni kwa njia ya penalty,
Hao mastriker sijui Ateba sijui Ahueni kazi yao ni kusubiri penalty, Wamekuwa mastriker wa Penalty. Mchezo wa leo, mchezo vs Pamba, vs Dodoma nk.
Strikers wote wenye magoli, magoli yaliyopatikana zaidi ya 80% ni magoli ya Penalty za kubahatisha. Ila magoli ya kutengeneza nafasi na kufunga ni machache mno!
Sipati picha ingekuwa inashiriki Club bingwa! 😀