Kushukuru......mmenitoa mbali

Hongera babu wengine kazi yetu kulalamika tuuuuuuuuuu,shukrani hakuna bwana.

Mara ngapi?........E bwana sidanganyi siwezi kumbuka....Nna zaidi ya miaka kumi na huyu mrembo.

Ila mara ya mwisho ilikuwa leo asubuhi alivyoniambia ananitakia kazi njema.
 
Hongera babu wengine kazi yetu kulalamika tuuuuuuuuuu,shukrani hakuna bwana.
Wanasema Ahsante ni neno rahisi kutamka lakini kwa wengi mdomo huwa mzito kulitamka.............wakati tumeagizwa TUSHUKURU KWA KILA JAMBO.
 
Binadamu walio wengi hawana shukrani. na mara kwa mara huwa wepesi kulaumu kuliko kushukuru kwa hiyo ni mambo ambayo tunatakiwa kama binadamu tuwe na hali ya kushukuru na kusamehe pia. Na kwa kuwa ni ngumu sana kumshukuru binadamu mwenzio unaemuona basi ugumu unakuwa mkubwa zaidi kumshukuru Mungu ambaye humuoni, ni wa ki imani zaidi. Tunahitaji reheme na neema ya mungu kuyajua yote hayo.
 
Mara ngapi?........E bwana sidanganyi siwezi kumbuka....Nna zaidi ya miaka kumi na huyu mrembo.

Ila mara ya mwisho ilikuwa leo asubuhi alivyoniambia ananitakia kazi njema.

Mhh...babu, unajua sie wengine majirani saako..sasa unafyodanganya haipendezi! asubuhi ya leo sie wewe uliyetuamsha mapema ukigombana na bibie...basi tu nakufichia siri!!!lol

***ni wivu tu babu, nimeguswa na jibu lako, "...mara ya mwisho ilikuwa leo asubuhi alivyoniambia ananitakia kazi njema."
 
Mjukuu wako jana nilikuwa nawaza mengi sana,mwisho wa yote nilijiuliza swali je huwa nashukuru mara ngapi? au kila wakati ni kukumbuka maumivu tu wakati tuna baraka nyingi tulizopewa lakini hatuzioni.

Wanasema Ahsante ni neno rahisi kutamka lakini kwa wengi mdomo huwa mzito kulitamka.............wakati tumeagizwa TUSHUKURU KWA KILA JAMBO.
 
Asante Muhanga,yote yawezekana kwake yeye atutiaye nguvu,hakuna linaloshindikana chini ya jua.

hongera sana Chauro kwa kukubali kuwa MMU, sometimes ni zaidi ya darasa,
Inapendeza kusikia hivyo........................msalimie shemeji!!!!!
 
Nyumba hujengwa kwa hekima,na kuimarishwa kwa busara.Kwa maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza(mithali 24:3-4).

Chauro....hayo maneno ni ya maana sana...Asante kwa kutukumbusha....
 
asante pia Keren kwa Signature yako Murua.....uko salama lakini my dear?

Mhhh!! afadhali leo umeona signature yangu, kwani leo umevaa miwani??!!...🙂

Niko mzima my dear, nimekumiss tu weye! hupatikani.....
 
Shukrani kwa wapenzi wote wa MMU. Kuna watu humu nisipowaona nakosa raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…