Ni vipi wandugu,niende moja kwa Moja kwenye mada.Juzi kati tumeshuhudia msanii akishushwa jukwaani punde tu baada ya kuanza kuiburudisha hadhira yake.Hili linaleta taswira flani yenye sintofahamu .Cha kujiuliza ni kwamba Je msanii aweza akawa amewakwaza hadhira au hadhira wamejawa tu na stress wakaamua kukinukisha ?