Kama hufahamiani na mtu halafu anacomment kama hivyo kwa nn usiifute hiyo comment kuepeusha ugomvi.?Wala picha huwa sio mbaya,na wanaume wengine huwa hatuwafahamu,huwa ni matani na mbwembwe zao
Kwa hiyo wakikoment hivyo tuwambie tuheshimiane au
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa.
Pia kuna hii tabia mbovu sana ya wanawake. Yoyote anayemuomba urafiki yeye anakubali ili mradi wawe wengi. Hivi unakuaje na marafiki 3000 account ya kawaida? Kwa wale socialites wanakuwa na private accounts na za public (ya mafans)! Ya private unakuta marafiki hawazidi hata 200. Ndio mfano hapa. Hawafahamu ila wako ktk list ya marafiki zake.Mwanaume sio mpenzi wako anakuambiaje my love umependeza? Humfaham hakufaham utani wa hivi lazima mpenzio awake
Mkuu mwache mkeo asifiwe tu kwani tatizo liko wapi? Na isitoshe baadhi ya watu wanaocomment wako mabara mengine. Wasiwasi wa nini?Huo sio wivu ila ni upumbavu wa mwanamke ambaye hajitambui. Wanawake mnakosea kitu. Hapa lazima mwanaume uwe mkali.
Kuna njia ya watu kukomenti. Mtu atakomenti na kukuongelea kutokana na jinsi wewe unavyo jipresent kwake. Ukijichukulia poa nae atakuchukulia poa. Ukijiweka ktk mazingira kuwa unatongozeka na kugongeka kirahisi wanaume tutakuchukulia hivyo hivyo, tutakutongoza na kukugonga kirahisi rahisi hivyo hivyo UTAKAVYO. Ukijidharau nao watakidharau.
Sasa kama watu wanakoment hivyo kuhusu wewe, WEWE mwanamke ndio umewawekea mazingira ya wao kuwa huru kukoment hivyo. Haiko sawa, kuna uwezekano hata mkikutana wote ndio wale watu anakushika tako na wewe unacheka tu. Weka mipaka na jiheshimu ukiwa nao uone kama watakomenti huo ujinga.
Alafu wewe utakuwa mtoto mdogo kama unaona wakikoment hivyo ni sawa na unacheka tu.
UNAVYOJI PRESENT KWA MTU/ WATU BASI NDIVYO WATAKAVYOKUCHUKULIA.
Hahaha! Mkuu unashangaza sana. Kwani tako au chuchu huwezi kuziona zikichomoza ndani ya blouse? Lazima ziwe hadhrani ndipo uzione? Mkuu umetisha!Huyo mwanaume wa facebook HUMFAHAMU, kawaje mmoja wa marafiki zako? Huoni kuwa una tatizo hapo? Au unaposema huwafahamu unamaanisha nini?
Kama picha sio mbaya chuchu anazionea wapi au anaanzaje kuongea masuala ya chuchu?
Kama nilivyosema, UMAVYOJIWASILISHA KWA MWANAUME NDIVYO ATAKAVYO KUCHUKULIA. Kwa mfano: hivi kuna uwezekano Christina Shusho kavaa kapendeza kapost picha alafu wanaume ktk akaunti yake waje waseme UNA TAKO KALI SANA SHUSHO?
Kuaccept request ya mtu, sio tatizo tatizo linakuua vile mtu anaamua kubehave kwenye mitandao, iliwah nitokea nakumbuka mtu anakutumia msg uko wapi mrembo, sjui mambo vipi, za wapi, nakaaga kimya tu najib msg ya mtu nnaemjuaPia kuna hii tabia mbovu sana ya wanawake. Yoyote anayemuomba urafiki yeye anakubali ili mradi wawe wengi. Hivi unakuaje na marafiki 3000 account ya kawaida? Kwa wale socialites wanakuwa na private accounts na za public (ya mafans)! Ya private unakuta marafiki hawazidi hata 200. Ndio mfano hapa. Hawafahamu ila wako ktk list ya marafiki zake.
Kwani chuchu changa huwa hazichomozi ndani ya blouse, lazima avue ndipo uzione?Sasa mtu kaonaje chuchu zako?!
Zitakuwa za chini. Inawezekana mdau alishawahi kuzama ndani ya UVINZA yake na kugundua ulaini wa hizo lips!Lips zake zipi? Za juu au za chini?
Kwa nini uaccept request ya mtu humjui?Kuaccept request ya mtu, sio tatizo tatizo linakuua vile mtu anaamua kubehave kwenye mitandao, iliwah nitokea nakumbuka mtu anakutumia msg uko wapi mrembo, sjui mambo vipi, za wapi, nakaaga kimya tu najib msg ya mtu nnaemjua
Kwani mtu kuona chuchu na kuzisifia lazima muwe mnafahamiana?Kama hufahamiani na mtu halafu anacomment kama hivyo kwa nn usiifute hiyo comment kuepeusha ugomvi.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwan ye alivoomba alikua ananjua??Kwa nini uaccept request ya mtu humjui?
Kwa nini wanaomsifia ni anaodai hawamfahamu, wanaomfahamu hawazioni hizo chuchu?Kwani chuchu changa huwa hazichomozi ndani ya blouse, lazima avue ndipo uzione?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa.Hahaha kwan ye alivoomba alikua ananjua??
Jamani chuchu kuonekana sio lazima ziwe uchi,zinaonekana tuHuyo mwanaume wa facebook HUMFAHAMU, kawaje mmoja wa marafiki zako? Huoni kuwa una tatizo hapo? Au unaposema huwafahamu unamaanisha nini?
Kama picha sio mbaya chuchu anazionea wapi au anaanzaje kuongea masuala ya chuchu?
Kama nilivyosema, UMAVYOJIWASILISHA KWA MWANAUME NDIVYO ATAKAVYO KUCHUKULIA. Kwa mfano: hivi kuna uwezekano Christina Shusho kavaa kapendeza kapost picha alafu wanaume ktk akaunti yake waje waseme UNA TAKO KALI SANA SHUSHO?
Hahahha ujue ukiamua kua na msimamo kila kitu kinawezekana, sawa ameniomba urafiki mekubali kanitongoza nimekataa kala block maisha yanakwendaHahahaaa.
Mwanaume anatafuta yoyote wa kutongoza. Nina uhakika mwanaume aliomba urafiki akitumia zaidi akili za kichwa cha chini. Wao ndio wawindwaji wakae chonjo.
Si kwelisiwezi kaa tu nang'aa sharubu nikiona kidume kingine kinamsifia manzi angu... akili zenu wenyewe mnazijua wenyewe ukisifiwa una chuchu nzuri utataka ukamuonjesha kabisa ili athibitishe na utamu uliopo [emoji23][emoji23][emoji23]