Wakuu naombeni mnisaidie huu ni mwezi wa tatu sasa kila niamkapo kuanzia saa 11 alfajiri kuelekea asubuhi huwa nasikia baridi kali mno .
Mfano wa la homa ila nikiamka saa 10 kurudi usiku mfano saa tisa nane huwa nipo kawaida .
Sasa naombeni ushauri hii hali ananikuwa mbaya sometimes nashindwa kabisa kwenda shule ukizingatia mwakani mwezi wa tano nina mtihani wa taifa.
Kama kuna mtu anaweza fahamu anijuze nilikwenda hospitali wakanipima malaria sina, typhod sina ila mkojo ulikuwa mchafu lakini baridi hili huwa ni asubuhi tuu kuanzia saa 11 alfajir kuelekea asubuhi .
Nawasilisha.