Kusimamisha kimakosa, (unknown error)

Babe insta unajua mm ni tomaso nataka nijionee tu niridhike
kweli kabisa kuna vitu vingine bila msaada wa picha hiviendi kabisa insta babe... embu tumsubiri mleta mada akuletee picha ya unknown error πŸ˜‚
 
ndo urijali wenyewe huo, tusipo simamisha tufanye nn sasa.
 
Hatari sana mkuu, bila shaka ulitamani ujibadili uwe jamaa[emoji16]
 
Nakumbka nko kidato cha pili iyo, teacher kanipoint nmpe jibu (tense) ilikua asbh km saatatu ivi, du nilichukua sana mda kuinuka wakati najishauri kuinuka teacher akajua namdharau afu watoto wa kike darasa lote macho kwangu ikabidi tu niinuke huku nimejipinda basi kabla sijajibu nikasikia kidem jirani kimenong'ona "kadindisha" basi ikabidi tu nirudi kukaa, teacher akakomaa nikasimama ,basi mademu darasa zima walicheka sana, ilipofika mapumziko nirudi home nikakaa kama wiki ivi bila kuibuka skonga. Sitaisahau hii asee
 
Me ilisha wai nipata kwenye daladala ile mme jazana kuna dada alikua amekaa mbele yangu... sasa akawa kila anavo nigusa bwana mkubwa anazidi kuchukia... naji tahidi kurudi nyuma na yule dada na yeye ana sogea nyuma... ikabidi niweke mikono mfukoni tu
 
Ukuenda week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…