issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Kusingekuwa na majina ya siku binadamu asingewaza kupumzika weekend. Kusingekuwa na miezi binadamu asingewaza likizo. Kusingekuwa na tarehe binadamu asingewaza sikukuu atapumzikaje. Kusingekuwa na masaa binadamu asingewaza masaa ya kupumzika au kutoka kazini.
Wewe waonaje kwa hili?
Wewe waonaje kwa hili?