Kusingiziwa kunauma jamani asikwambie mtu

Haahshshssh umekumbusha mbali sana

Nilikuwa kwa kwa ndugu yangu Fulani kwa kipindi Fulani wakati Niko darasa LA saba sababu iliyopelekea nikakae pale ni kwamba familia yetu ilihamia mkoani so uhamisho ungesumbua nikaachwa Mimi dar.

Sasa bwana kuna Dada mmoja ambaye ni ndugu wa familia hiyo niliyokuwa naishi kwa upande wa mume alikuja pale home kabwana na mimavi yake toka somewhere akapitiliza kwenye choo cha ndani ambacho Kipo umbali wa mita 7 tu kutoka sebuleni .

Kajisaidia miharufu kama yote hapo mama.mwenyewe nyumba alikuwa njiani anakuja na marafiki zake

Ebwana mimi haja ndogo ikanishika nikawahi choo kuitoka lakini ile harufu ya yule mdada bado Kali sana haikuisha.

Maza hausi si akaja bana akaka hapo sebulenj mmoja wa rafiki akataka kuzama choo ile kufungua mlango sebule nzima harufu ya makimba .

Maza kawaka nani huyo ambaye kachafua choo na hajaflash aisee yule Dada na mfanyakazi mmoja wa ndani mchafu mchafu si wakasema mimi daaah yaani Nina ninatoa mavi yenye harufu ya MTU mzima wakati kipindi kile nilikuwa namiaka 13 tu daaah acha nilie nikisema sio mimi hawatanikubali ,nikisema yule Dada ambaye ni MTU mzima nitaone sins adabu na huenda nikafukuzwa hapo

Nikakaa kimya sikukubali na sikusema nini nani aliechafua maana walitaka nisema na muhusika yupo hapo hapo namwona ka relax

Niliumia sana miaka ikapita hadi nikikumbuka nawachukia sana wale watu mule ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…