ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kusini mwaka wetu wa kuchekelea ndo huu biashara zitasimama bei ya kilo ya korosho ni 4000 ndo habari ya dunia kwa sasa.
Achana na wamakonde kuwanywesha soda mbuzi..huko Mbinga nako kahawa safi sana watu wanaenda na visado bar wananunua bia wanawekewa kwenye ndoo wanakunywa kama pombe za kienyeji.
Kama una biashara zako huu ndo msimu wenyewe usipopata hela mwaka huu utakuja kupata lini tena, kaa kijanja.