ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kweli mkuu angalia mitandaoniWeuweeeeeee, hii ni kweli au unatania? Kama kweli ntalia hadi ntalia tena 😂😁😂😁😃
Vijana tuchangamke fursa za biashara ni nyingi.
Mimi yuleeeeeeeMachinga muda muafaka kwenda
Sikuwa nimeona wala kufuatilia kiongozi, maana misimu iliyopita mizingou tu, hii habari uliyonipa ni njema sana. Nishapeleka sana nguo, na zinalipa sana.Kweli mkuu angalia mitandaoni
huko Mbinga nako kahawa safi sana watu wanaenda na visado bar wananunua bia
BEi ya kisiasa,sahivi wahuni wameanza kupunguza bei kila mnada inashuka.Kusini mwaka wetu wa kuchekelea ndo huu biashara zitasimama bei ya kilo ya korosho ni 4000 ndo habari ya dunia kwa sasa.
Achana na wamakonde kuwanywesha soda mbuzi..huko Mbinga nako kahawa safi sana watu wanaenda na visado bar wananunua bia wanawekewa kwenye ndoo wanakunywa kama pombe za kienyeji.
Kama una biashara zako huu ndo msimu wenyewe usipopata hela mwaka huu utakuja kupata lini tena, kaa kijanja
Kuna a very dirty secret behind this, hio price sio halisi! Wanasiasa ni Watu hatari Sana Sana. Anyway ngoja niishie hapa.Kusini mwaka wetu wa kuchekelea ndo huu biashara zitasimama bei ya kilo ya korosho ni 4000 ndo habari ya dunia kwa sasa.
Achana na wamakonde kuwanywesha soda mbuzi..huko Mbinga nako kahawa safi sana watu wanaenda na visado bar wananunua bia wanawekewa kwenye ndoo wanakunywa kama pombe za kienyeji.
Kama una biashara zako huu ndo msimu wenyewe usipopata hela mwaka huu utakuja kupata lini tena, kaa kijanja
Sio halisi kivipi wewe uko wapi? Mimi nipo kusini ndiko kwetu na ninalima korosho acha kujifarijiKuna a very dirty secret behind this, hio price sio halisi! Wanasiasa ni Watu hatari Sana Sana. Anyway ngoja niishie hapa.