Pre GE2025 Kusini Pemba: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Pre GE2025 Kusini Pemba: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

1. Ramadhan Suleiman Ramadhan - Mbunge wa Chakechake

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 4136

Historia ya Elimu

  • Madungu Primary School and Michakaini Secondary School: CPEE, 1992 - 1999
  • Shamiani Secondary School:, 2000 - 2005
  • Nyuki Secondary School:2007 - 2009
  • The Zanzibar University: Bachelor of Law and Shariah 2010 - 2014

Historia ya Ajira

Mwanasheria wa Serikali 2014 - 2020

Uzoefu wa Kisiasa

  • Bunge la Tanzania: Mbunge 2020 - 2025
  • Kamati ya Sheria Ndogo: Mwanachama, 2021 - 2023

2. Mohamed Abdulrahman Mwinyi - MBUNGE WA CHAMBANI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 2987

Historia ya Elimu

- Chuo cha Cambridge International: Cheti, 2000 - 2001
- Shule ya Sekondari ya Hamamni: CSEE, 1983
  • Shule ya Sekondari ya Chambani: - , 1979 - 1982
  • Shule ya Msingi ya Chambani: PCEE, 1973 - 1978

Historia ya Ajira

  • Ofisi ya Waziri Mkuu - Pemba: Karani, 1988 - 1992
  • Ofisi ya Waziri Mkuu - Pemba: Msaidizi wa Cashier, 1993 - 1998
  • Ofisi ya Waziri Mkuu - Pemba: Cashier, 1998 - 2001
  • Ofisi ya Rais - Pemba: Mhasibu Mkuu, 2001 - 2003
  • Ofisi ya Rais Idara ya Utawala wa Mikoa - Pemba: Mhasibu Mkuu, 2003 - 2006

Uzoefu wa Kisiasa

  • Bunge la Tanzania: Mbunge, 2020 - 2025
  • Kamati ya Hesabu za Mamlaka za Mitaa: Mwanachama, 2021 - 2023

Chama cha Mapinduzi

Katibu wa Tawi, 1989 - 1992
Katibu - Uchumi na Fedha (Kata), 2012 - 2017
Mwanachama wa Baraza Kuu, Mkoa, 2003 - Hadi sas
Mwanachama wa Kamati ya Siasa, Mkoa, 2012 - Hadi sasa
Mwanachama wa Baraza Kuu la UVCCM, 2003 - 2008
Mwanachama wa Mkutano Mkuu wa Wazazi Taifa, 2012 - 2017
Mwanachama wa Mkutano Mkuu wa CCM, 2003 - 2008
Mwanachama wa Baraza Kuu la NEC, 2012 - Hadi sasa

3. Rashid Abdalla Rashid - MBUNGE WA KIWANI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 3209

Historia ya elimu

- Kiwani Primary School: CPEE, 1981 - 1987
Kangani Centre: CSEE, 1991
  • The National Board for Material Management: The Material Management Foundation Certificate, 1997
  • The National Board for Material Management: The Basic Storekeeping Materials Management, 1996
  • Dar es Salaam College of Hotel and Business Studies: Diploma of Business Administration, 2008 - 2010
  • Zanzibar Institute of Financial Administration (ZIFA): Advanced Diploma, 2002 - 2004
  • Open University of Tanzania (OUT): Bachelor of Business Administration, (Accounting and Finance), 2012 - 2015

Historia ya Ajira

  • Ofisi ya Rais ya Serikali ya Zanzibar, Idara ya Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Pemba: Cashier, 2000 - 2004
  • Halmashauri ya Mji wa ChakeChake - Pemba: Cashier, 2004 - 2007
  • Ministry of Communication and Transport - Pemba: Msaidizi wa Mhasibu, 2007 - 2011
  • Tume ya UKIMWI ya Zanzibar: Mhasibu, 2011 - 2016
  • Ofisi ya Rais, Idara ya Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora: Mhasibu, 2016
  • Halmashauri ya Mji wa Mkoani: Mkurugenzi Mkaazi, 2016 - 2017
  • Halmashauri ya Mji wa Mkoani: Mkurugenzi, 2017 - 2020

Uzoefu wa Kisiasa

  • Bunge la Tanzania: Mbunge, 2020 - 2025
  • Chama cha Mapinduzi: Mwanachama, Kamati ya Siasa - Tawi la Kiwani, 2002 - 2007
  • Chama cha Mapinduzi: Mwanachama, Kamati ya Siasa - Jimbo la Kiwani, 2007 - 2020

4. Makame Mnyaa Mbarawa - MBUNGE WA MKOANI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 8643

Historia ya Elimu

  • Chokocho Primary School: CPEE, 1967 - 1972
  • Chokocho Secondary School: SCEE, 1973 - 1975
  • Karume T Collage: Full Technician Certificate (FTC), 1977 - 1981
  • Astrakhan Technical Institute of Fisheries: Marine Engineering, 1986 - 1991 (Masters Degree)
  • University of New South Wales, Sydney, Australia: Marine Engineering, 1994 - 1998 (PhD)

Historia ya ajira

  • Ministry of Communication - Revolutionary Government of Zanzibar: Mfanyakazi wa Ufundi, 1982 - 1985
  • Tshwane University of Technology: Profesa Msaidizi, 2005 - 2009
  • Tshwane University of Technology: Profesa, 2009 - 2010

Uzoefu wa Kisiasa

  • Bunge la Tanzania: Mbunge, 2010 - 2015
  • Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia: Waziri, 2010 - 2015
  • Bunge la Tanzania: Mbunge, 2015 - 2025

5. Juma Hamad Omar - MBUNGE WA OLE

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 1961

Historia ya elimu

  • Ngambwa Primary School: CPEE, 1960 - 1968
  • Fidel Castro Secondary School: CSEE, 1969 - 1972
  • Lumumba Secondary School: ACSEE, 1973 - 1974
  • University of Dar es Salaam: Bachelor of Science (ED) (Hons), 1975 - 1978 (Bachelor Degree)
  • University of Reading, UK: Master of Science, 1980 - 1981 (Masters Degree)

Historia ya ajira

  • Ministry of Education: Mkuu wa Chuo cha Fidel Castro, 1979 - 1985
  • SELF: Huduma za Ushauri, 1996 - 2003
  • Sos Hermann Gmeiner School, Zanzibar: Mhadhiri wa Fizikia, 2004 - 2015
  • University College of Education, Zanzibar: Mhadhiri wa Fizikia, 2004 - 2015
  • Mahad Istiqama School: Mhadhiri wa Fizikia, 2004 - 2015

Uzoefu wa kisiasa

  • Bunge la Tanzania: Mbunge, 1985 - 1995
  • Jumba la Wawakilishi: Mwakilishi, 1985 - 1990
  • Wizara ya Utalii, Maliasili na Mazingira, Tanzania: Waziri, 1993 - 1995
  • Chama cha Mapinduzi: Mjumbe, Kamati Kuu na Halmashauri Kuu, 1992 - 1997
  • Parastatal Organizations Committee: Mjumbe, 1996 - 1998

6. Khamis Kassim Ali - MBUNGE WA WAWI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 5041

Historia ya elimu

  • Wawi Primary School: CPEE, 1986 - 1991
  • Wawi Secondary School: CSEE, 1992 - 1998
  • Dar es Salaam College of Education: Certificate of Human Resource Management, 2012 - 2013
- Dar es Salaam College of Education: Diploma in Human Resource Management, 2013 - 2015

Historia ya ajira

- Wizara ya Miundombinu, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar: Mkaguzi Mkuu wa Magari - ChakeChake, 2011 - 2020

Uzoefu wa Kisiasa

  • Baraza la Wawakilishi: Mjumbe wa Baraza, 2005 - 2015
  • Bunge la Tanzania: Mbunge, 2020 - 2025

7. Dedi Ahmed Juma Ngwali - MBUNGE WA ZIWANI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 4199

Historia ya elimu

  • Madungu Primary School:1978 - 1985
  • Haile Selassie Secondary School: 1986 - 1990
- Mbweni Secondary School: 1992 - 1996

Historia ya ajira

  • MEGA Speed Liner: Meneja wa Tawi, 2000 - 2003
  • Pemba Reasonable Tours: Meneja wa Uendeshaji, 2004 - 2005
  • Prismo Universal Ttaliana: Meneja wa Mradi, 2005 - 2007
  • SLAM Construction LTD: Meneja, 2007 - 2009
  • Private Co.LDS: Meneja, 2010 - 2011

Uzoefu wa Kisiasa

  • Civic United Front: Mwanachama wa Tawi, 1999
  • Civic United Front: Mwanachama wa Jimbo, Wilaya, Mkoa, 2010 - 2015
  • Civic United Front: Mwanachama wa Mkutano Mkuu wa Jimbo, 2005 - 2010
  • Parliament of Tanzania: Mbunge, 2010 - 2025
Kupata CV za wabunge zote Tanzania ingia hapa: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
 
Back
Top Bottom