Pre GE2025 Kusini Unguja: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Pre GE2025 Kusini Unguja: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

1. Haji Makame Mlenge - MBUNGE WA CHWAKA

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 7563

Historia ya elimu

  • Ukongoroni Primary School: CPEE, 1977 - 1985
  • Mikunguni Technical Secondary School: CSEE, 1986 - 1989
  • Karume Technical College: Certificate, 1990 - 1993 (FTC)
  • Institute of Commercial Management: Diploma, 2004 - 2007
  • Kampala International University: Postgraduate Diploma, 2007 - 2009

Historia ya ajira

COM Department
  1. Customer Queries, 1997 - 2000
  2. Data Input (Back Office), 2000 - 2002
  3. Assistant SMS Supervisor, 2002 - 2005
  4. Tukuza Customer Care Supervisor, 2005 - 2016
MCC at ZECO: Gender Focal Person, 2015 - 2016
ZECO: Project Manager for Meter Change Install, 2015 - 2017

Uzoefu wa kisiasa

Mbunge: 2020 - 2025

2. Ravia Idarus Faina - MBUNGE WA MAKUNDUCHI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 8848

Historia ya elimu

  • Mtende Primary School: CPEE, 1977 - 1984
  • Lumumba Secondary School: CSEE, 1985 - 1988
  • Chuo cha Uchumi Zanzibar: Certificate, 1991 - 1993
- College of Business Education: Diploma in Business Administration, 1994 - 1995

Historia ya ajira

  • Cashier: Institute of Kiswahili and Foreign Languages: 1992 - 1995
  • Assistant Accountant: Institute of Kiswahili and Foreign Languages: 1996 - 2001
  • Accountant: The State University of Zanzibar: 2001 - 2020
Rais: Zanzibar Football Association (ZFA): 2013 - 2018

Uzoefu wa kisiasa

Mbunge: 2020 - 2025

3. Jaffar Sanya Jusa - MBUNGE WA PAJE

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 6568

Historia ya elimu

CPEE: Mkunazini Primary School: 1972 - 1978

Uzoefu wa Kisiasa

  • Mwenyekiti wa Fedha wa Kata: Chama cha Mapinduzi: 2002
  • Kamanda wa Mkoa wa UVCCM: Chama cha Mapinduzi: 2007 - 2020
  • Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa: Chama cha Mapinduzi: 2007 - 2017
  • Mjumbe: Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii: 2015 - 2018
  • Mbunge: Bunge la Tanzania: 2015 - 2020
  • Mbunge: Bunge la Tanzania: 2020 - 2025

4. Khalifa Salum Suleiman - MBUNGE WA TUNGUU

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 9407

Historia ya elimu

Kiboje Secondary School: CSEE: 1972 - 1976
Kiboje Primary School: CPEE: 1966 - 1972

Historia ya ajira

Biashara Binafsi 1977 - 1999
Director: Tourist / Contracting: 2000 - 2015

Uzoefu wa kisiasa

  • Mbunge: Bunge la Tanzania: 2015 - 2020
  • Mjumbe: Kamati ya Halmashauri Kuu ya Taifa - Chama Cha Mapinduzi: 2012 - Sasa
  • Mjumbe: Kamati ya Kata, Jimbo, na Wilaya - Chama Cha Mapinduzi: 2012 - Sasa
  • Mjumbe: Kamati ya Siasa - Chama Cha Mapinduzi: 1984

5. Khamis Hamza Khamis - MBUNGE WA UZINI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 13552

Historia ya elimu

  • Zanzibar University: 2010 - 2014: Bachelor Degree
  • Nkurumah Teacher Training College: Diploma: 2004 - 2006: Diploma
  • Kodongochekundu Secondary School: Certificate: 2000 - 2003: Secondary School
  • Lumumba Secondary School: Certificate: 2005 - 2005: Secondary School
  • Dunga Primary School: Certificate: 1999

Uzoefu wa kisiasa

  • Mbunge: Bunge la Tanzania: 2020 - 2025
  • Naibu Waziri: Wizara ya Mambo ya Ndani: 2020 - 2022
  • Naibu Waziri: Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira): 2022 - Hadi sasa
Kupata CV za wabunge zote Tanzania ingia hapa: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
 
Back
Top Bottom