Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, mkoa huu amba una jumla ya wakazi 195,873 kati ya hao wanaume ni 98,367 na wanawake ni 130,506 huku kaya zikiwa takriban 47,010
Mkoa wa Kusini Unguja una jumla ya Majimbo 6, Baraza (Wilaya) 5 pamoja Wadi (Kata) 12.
Majimbo ya Kusini Unguja ni pamoja na;
1. Uzini
2. Chwaka
3. Tunguu
4. Bambi
5. Paje
6. Makunduchi
Hali ya Kisiasa
Katika majimbo yaliyoangaliwa kwenye mkoa huu, CCM kilidhibiti ushindi kwa asilimia kubwa, hasa katika majimbo kama Chwaka, Makunduchi, Paje, Tungu, na Uzini, ambapo walipata zaidi ya asilimia 90% ya kura.
ACT-Wazalendo ilifanya vizuri katika majimbo machache kama Chwaka na Makunduchi, ingawa kwa asilimia ya chini, mara nyingi kati ya 10% hadi 15%.
Pia soma: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Vyama vingine kama CHADEMA, CUF, na ADC vilikuwa na ushawishi mdogo katika mkoa huu, vikipata asilimia ndogo sana ya kura zilizopigwa.
2024
- Nafasi za uongozi kwa wanawake Zanzibar bado kitendawili
- Uwepo wa Dawati la Jinsia katika Vyama vya Siasa utasaidia kupunguza mazingira ya Rushwa ya Ngono
- Ukatili wa Kijinsia wakati wa uchaguzi unachangia kuzima ndoto za Wanawake kuwa viongozi Zanzibar
Januari
Februari
- Wanu H. Ameir atoa zawadi kwa Wanafunzi waliopata Division One
- Rais Mwinyi: UVCCM endeleeni kuhamasisha vijana CCM ishinde na kushika dola
- Mohamed Kawaida: Ajenda ya mitano tena ni kwa Rais Samia na Rais Mwinyi tu. Vijana twende tukagombee
- PICHA: Machawa wa ankali (Dkt. Mwinyi) na Generation Samia (GEN S) washirikiana kuandaa Pilau Day Zanzibar
- Dkt. Tulia awataka vijana kujitokeza kugombea kwakua CCM imejipanga kushika dola
- Zanzibar: Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja awaomba wananchi wakajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura