Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Ivi ni kwanini watu wengi wakisinzia kw basi au daladala wawe wanawake au wanaume wana tabia ya kushindwa kujicontrol kichwa kisimuegemee mwingine? Me nikilala au kusinzia nabaki hapo hapo kw kiti changu; hawa wengine vipi?😳😳😳