itoko jr
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,126
- 2,537
Habarini wanaJF
I hope uko fit.
Moja kwa moja niende kwenye mada mara nyingi nikiwa kwenye daladala naona baadhii ya watu wanasinzia au kulala kabisa wakiwa wamekaa kweny seat huku wakikoroma na kushusha udenda mzito daaah inakera hadi mtu unajisikia kinyaa.
Mimi binafsi hiyo tabia siipendi na ninaitafsiri kama tabia mbovu na mbaya, muache kusinzia kwenye daladala bhana mnakeree balaa[emoji42]
N.B Wengine mnaibiwa (mnasachiwa bila kujua) na pisi kali kuliwa kimasihara sababu ya kusinzia unanilalia kifua natake advantage.
Nawasilisha.