Kuna mwingine anaweza akakujibu kuwa Kutumia usafiri wa Umma ni tabia mbaya sana kwa kuwa unaweza beba maradhi na kupeleka nyumbani kwako…kwanini ukitoka asbh usiwashe gari lako ukatoka nalo kwenda kwny shughuli zako?
Watu wanamaliza shughuli zao saa nne usiku hadi afike Mbagala kingugi kutokea Kariakoo ni saa tano na nusu, anaweka ubavu chini saa 6, apapasane na mwenzie hadi saa 7 usiku, ikifika swalaa swalaa anawahi kujiandaa, kwanini asipunguze usingizi kwny daladala?
Pengine wewe unaamka baada ya usingizi kuisha wakati wenzio wanaamka baada ya muda wa kuamka kufika