Kusinzia ukiwa kazini ,kisheria.

Kusinzia ukiwa kazini ,kisheria.

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Wakuu mje mtusaidie hapa sisi vilaza wa sheria,kumekuwa na kawaida ya watumishi wa umma kuviziwa wakiwa wamesinzia kwenye viti na kuwapiga picha kama ushahidi wa kutumbuliwa,kibiologia kusinzia sio kama takwa Bali lazima .
Je iwapo mtumishi atapigwa picha akisinzia na hakuna mteja he ni sahihi kuwajibishwa ? Kwa kosa lipi?
 
Kusinzia Ni Ishara ya Kulala

Ni Marufuku Kusinzia wakati wa Kazi.

Ingia kwenye choo Cha kukaa u-snooze.
 
usingizi wa mchana unaitwa SIESTA kiHispania
na huwa kuna mapumziko kuanzia saa 7 hadi saa 8 mchana baada ya mlo (Lunch)
sasa km utashindilia wanga metabilism itazidiwa na kukuchosha
People head home from work for a siesta, as it's known in Spain, or a riposo, as it's called in Italy. Whether that means a short nap of 20 minutes (the traditional meaning of the word siesta) or a major mid-afternoon break varies from one country to another.
sasa siku hizi chips dume ni lazima watu wasinzie lakini kuwapiga picha ni makosa
lkn km ulikesha muziki, Taarabu, vigodoro na kuingia tu ofisini unalala hapo ni suala lingine bora wakuhamishe kitengo hicho km ni cha kupokea fedha au kulinda mlangoni na silaha yenye ncha kali
 
Dah...kusinzia ukiwa kazini maana yake umekosa kazi ya kufanya...[emoji41]
 
usingizi wa mchana unaitwa SIESTA kiHispania
na huwa kuna mapumziko kuanzia saa 7 hadi saa 8 mchana baada ya mlo (Lunch)
sasa km utashindilia wanga metabilism itazidiwa na kukuchosha

sasa siku hizi chips dume ni lazima watu wasinzie lakini kuwapiga picha ni makosa
lkn km ulikesha muziki, Taarabu, vigodoro na kuingia tu ofisini unalala hapo ni suala lingine bora wakuhamishe kitengo hicho km ni cha kupokea fedha au kulinda mlangoni na silaha yenye ncha kali
je kisheria imekaaje
 
je kisheria imekaaje
kuna ugonjwa unaitwa Malale, huu unatokana na mbung'o (kainzi) alikuwepo afisa mmoja wa Shirika la Reli alituchosha sana alikuwa akikata tiketi za abiria yaani bila kelele anasinzia mpaka mezani, huko Kanda ya kati, mpaka anaondoka hakushtakiwa
Nilichosema ni wale wanaoshinda night club au Bar kwa ulevi halafu saa 3 asubuhi kalala kaunta huyo aadhibiwe
Those who are caught in violation may face disciplinary action such as suspension or firing. Some employees sleep, nap, or take a power-nap only during their allotted break time at work. This may or may not be permitted, depending on the employer's policies.
1536593252155.jpeg

ngoja niGoogle hiyo Sheria nitarudi
 
Back
Top Bottom