sasa siku hizi chips dume ni lazima watu wasinzie lakini kuwapiga picha ni makosaPeople head home from work for a siesta, as it's known in Spain, or a riposo, as it's called in Italy. Whether that means a short nap of 20 minutes (the traditional meaning of the word siesta) or a major mid-afternoon break varies from one country to another.
je kisheria imekaajeusingizi wa mchana unaitwa SIESTA kiHispania
na huwa kuna mapumziko kuanzia saa 7 hadi saa 8 mchana baada ya mlo (Lunch)
sasa km utashindilia wanga metabilism itazidiwa na kukuchosha
sasa siku hizi chips dume ni lazima watu wasinzie lakini kuwapiga picha ni makosa
lkn km ulikesha muziki, Taarabu, vigodoro na kuingia tu ofisini unalala hapo ni suala lingine bora wakuhamishe kitengo hicho km ni cha kupokea fedha au kulinda mlangoni na silaha yenye ncha kali
kuna ugonjwa unaitwa Malale, huu unatokana na mbung'o (kainzi) alikuwepo afisa mmoja wa Shirika la Reli alituchosha sana alikuwa akikata tiketi za abiria yaani bila kelele anasinzia mpaka mezani, huko Kanda ya kati, mpaka anaondoka hakushtakiwaje kisheria imekaaje
Those who are caught in violation may face disciplinary action such as suspension or firing. Some employees sleep, nap, or take a power-nap only during their allotted break time at work. This may or may not be permitted, depending on the employer's policies.
Hayo maoni yako nataka ya kisheria