Kusinziasinzia

Chocolate

Senior Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
117
Reaction score
48
😕Last week kulikuwa na thread inayozungumizia matatizo ya hedhi kwa kina dada sasa swali langu linaweza pia likaendana na thread hiyo japo katika michango yote iliyotolewa sijaweza kupata ufumbuzi.

Je hali ya kulala lala na kusinzia wakati wote hata kama ni asubuhi kwenye gari wakati wa kipindi hicho nayo husababishwa na nini?

Na utatuzi wake kitaalamu ni upi?
 
Last week kulikuwa na thread inayozungumizia matatizo ya hedhi kwa kina dada sasa swali langu linaweza pia likaendana na thread hiyo japo katika michango yote iliyotolewa sijaweza kupata ufumbuzi.

Je hali ya kulala lala na kusinzia wakati wote hata kama ni asubuhi kwenye gari wakati wa kipindi hicho nayo husababishwa na nini?

Na utatuzi wake kitaalamu ni upi?
 

Thanks kwa swali zuri, Jf vipi tuko wengi tungependa kufahamu hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…