hizi ni antisocial behaviourskwa kile kinachodaiwa ni harakati za kuweka uchumi sawa, Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMITA yamefutwa shuleni.
lengo likiwa ni kuhamisha fedha zilizotengwa kuendesha mashindano hayo kutumika katika ununuzi wa madawati.
pia, kuokoa muda wa wanafunzi kujikita zaidi katika kujisomea.
kwa mujibu wa Waziri wa ofisi ya Rais
TAMISEMI George Simbachawene.
hizi ni antisocial behaviours
Magu ama baba ***** alikuwa napiga ngoma sana mbona ana PhD ya Chemistry. wacha hiyo. je watu psycholojia wanasemaje kuhusu michezo kwa watoto na kusoma?