Habari wadau. Naomba kufahamishwa namna ya kusoma vitabu kwenye mtandao au link ya kudownload vitabu vya masomo mbali hasa vya chuo, nimejaribu kusachi lakini vinakuja vya kulipia tena gharama kubwa sana na proces ndefu ya malipo. Nisaidieni kwa hili tafadhali!