wa kibondemaji
Member
- Aug 1, 2024
- 30
- 53
Kimeumana kijana anabadili gia angani.Habari wana JF,
Nina rafik yangu alisoma CBG akapata division II ya 12, baada ya hapo akaenda kusoma clinical medicine akapata GPA ya 4.2.
Sasa anaomba msaada je akitaka kusoma Bsc pharmacy itawezekana kwa hivyo vigezo tajwa hapo juu?
HAIWEZEKANI..!Habari wana JF,
Nina rafik yangu alisoma CBG akapata division II ya 12, baada ya hapo akaenda kusoma clinical medicine akapata GPA ya 4.2.
Sasa anaomba msaada je akitaka kusoma Bsc pharmacy itawezekana kwa hivyo vigezo tajwa hapo juu?
Pharmacy haina ajira ila unaweza kujiajiri kirahisiAmeona pharmacy ina ajili sana bila shaka ...
Mwambie asisahau kujifunza boda akiwa chuo .
Ugejua yuko in serikalin mwaka wa 4 sasa, usingesema hivoAmeona pharmacy ina ajili sana bila shaka ...
Mwambie asisahau kujifunza boda akiwa chuo .
SawaUgejua yuko in serikalin mwaka wa 4 sasa, usingesema hivo
Na hasomi kuajiriwaPharmacy haina ajira ila unaweza kujiajiri kirahisi
Huwezi kusoma kozi ya afya kama hujasoma phys..Habari wana JF,
Nina rafik yangu alisoma CBG akapata division II ya 12, baada ya hapo akaenda kusoma clinical medicine akapata GPA ya 4.2.
Sasa anaomba msaada je akitaka kusoma Bsc pharmacy itawezekana kwa hivyo vigezo tajwa hapo juu?
Soma vizuri uelewe nilichoandikaHuwezi kusoma kozi ya afya kama hujasoma phys..