uzewela
Senior Member
- Jul 29, 2020
- 133
- 289
Habari wakuu!!
Mimi ni member wa NBAA nilijisajili mwaka 2011 wakati ule tunafanya module e na f sikufanikiwa kumaliza nikawa nimepiga masters toka kipindi hicho hadi sasa sijawahi fanya tena iyo mtihani.
Sasa natamani kurudi kufanya mitihani ya CPA, naomba mwenye kujua naanzia stage ipi na masomo gani nitasoma.
Natanguliza shukrani