Tetesi?Habari wakuu!! Mm ni member wa NBAA nilijisajili mwaka 2011 wakati ule tunafanya module e na f sikufanikiwa kumaliza nikawa nimepiga masters toka kipindi hicho hadi sasa sijawahi fanya tena iyo mtihani.sasa natamani kurudi kufanya mitihani ya CPA.naomba mwenye kujua naanzia stage ipi na masomo gani nitasomq.natanguliza shukrani
Sitakuwa na exemption?Utaanzia Foundation level. (Code A)
Masomo 6
A1 Quantitative Techniques
A2 Business and Management
A3 Financial Accounting
A4 Cost Accounting
A5 Business Law
A6 Business Economics
Note: Current Syllabus (2019-2023) inaelekea ukingoni. New syllabus inaweza ikabadilika, Yaani
*Masomo yakaongezwa/kupunguzwa
*Topics zinaweza zikaongezwa/kupunguzwa.
Therefore stay updated before making decisions. Uwe unapitia website ya NBAA
I hope nimekusaidia kiasi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hutokua na exemption.Sitakuwa na exemption?
Hello mkuu, utaanzia foundation level sababu ni zaidi ya miaka 5 imepita tangu ulipomaliza chuo hiyo 2011.Habari wakuu!!
Mimi ni member wa NBAA nilijisajili mwaka 2011 wakati ule tunafanya module e na f sikufanikiwa kumaliza nikawa nimepiga masters toka kipindi hicho hadi sasa sijawahi fanya tena iyo mtihani.
Sasa natamani kurudi kufanya mitihani ya CPA, naomba mwenye kujua naanzia stage ipi na masomo gani nitasoma.
Natanguliza shukrani
AsanteHello mkuu, utaanzia foundation level sababu ni zaidi ya miaka 5 imepita tangu ulipomaliza chuo hiyo 2011.
Foundation Level kuna masomo 6, then
Intermediate masomo 6 then
Utamalizia final masomo 4.
Pia unaweza kuwapigia board kama utakua na issues. Kuna no yao kule Mems.
Basically graduate wa accountancy ambaye haja attempt CPA examinations anaanzia foundation level?Hello mkuu, utaanzia foundation level sababu ni zaidi ya miaka 5 imepita tangu ulipomaliza chuo hiyo 2011.
Foundation Level kuna masomo 6, then
Intermediate masomo 6 then
Utamalizia final masomo 4.
Pia unaweza kuwapigia board kama utakua na issues. Kuna no yao kule Mems.
Ataanzia intermediate 6 subjects and final 4 subjects atakua amemaliza, ila kama imepita 5 yrs tangu ugraduate utaanzia foundation level, ila unaweza pewa exemption kwa baadhi ya masomo.Basically graduate wa accountancy ambaye haja attempt CPA examinations anaanzia foundation level?
Ahsante. Kama yapi vile? Halafu nime download fee structure haiko user friendly. Kama nafanya masomo yote nalipia sh ngapi na kama ni baadhi ya masomo kila somo shs ngapi?Ataanzia intermediate 6 subjects and final 4 subjects atakua amemaliza, ila kama imepita 5 yrs tangu ugraduate utaanzia foundation level, ila unaweza pewa exemption kwa baadhi ya masomo.