Y yuzzo jr Member Joined May 15, 2021 Posts 16 Reaction score 15 Sep 9, 2024 #1 Kwa wanaojua kwani Inawezekana mtu kusoma vyuo viwili kwa mara moja mfano;upo degree chuo x ila unafanya application na kujisali level ya certificate au diploma chuo y
Kwa wanaojua kwani Inawezekana mtu kusoma vyuo viwili kwa mara moja mfano;upo degree chuo x ila unafanya application na kujisali level ya certificate au diploma chuo y
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,261 Reaction score 3,580 Sep 9, 2024 #2 Kikubwa muda. Maana anaweza kuwa na mtihani chuo x na wakati huo huo chuo y una mitihani.
Dikteta Uchwara JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 203 Reaction score 278 Sep 9, 2024 #3 utoto raha sana
A Annie john Member Joined Oct 2, 2021 Posts 50 Reaction score 60 Sep 9, 2024 #4 Dikteta Uchwara said: utoto raha sana Click to expand... 😅😅kwanini lkn?
Y yuzzo jr Member Joined May 15, 2021 Posts 16 Reaction score 15 Sep 9, 2024 Thread starter #5 Mpatuka said: Kikubwa muda. Maana anaweza kuwa na mtihani chuo x na wakati huo huo chuo y una mitihani. Click to expand... Kuhusu muda hamna shida mm nachotaka nijue kama inawezakana kusoma kwa mara moja?
Mpatuka said: Kikubwa muda. Maana anaweza kuwa na mtihani chuo x na wakati huo huo chuo y una mitihani. Click to expand... Kuhusu muda hamna shida mm nachotaka nijue kama inawezakana kusoma kwa mara moja?