Damidizzo JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 400 Reaction score 172 Aug 21, 2014 #1 Na vipi izo course upande wa ajira?
N ndechilio shoo JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 997 Reaction score 365 Aug 21, 2014 #2 LLB miaka 4 udsm,udom,saut,mzumbe miaka 3,baada ya hapo,school of law mwaka 1 hapa ndo mziki
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,047 Aug 21, 2014 #3 MARANGU said: LLB miaka 4 udsm,udom,saut,mzumbe miaka 3,baada ya hapo,school of law mwaka 1 hapa ndo mziki Click to expand... hiyo miaka 4 kwa UDSM umeitoa wapi? Mbona naskia hivi sasa ni 3 years?
MARANGU said: LLB miaka 4 udsm,udom,saut,mzumbe miaka 3,baada ya hapo,school of law mwaka 1 hapa ndo mziki Click to expand... hiyo miaka 4 kwa UDSM umeitoa wapi? Mbona naskia hivi sasa ni 3 years?
J Johnsonu Senior Member Joined Mar 19, 2013 Posts 165 Reaction score 53 Aug 21, 2014 #4 Shardcole said: hiyo miaka 4 kwa UDSM umeitoa wapi? Mbona naskia hivi sasa ni 3 years? Click to expand... Ni minne ndugu. Lakini kuanzia mwaka huu ni mi3 tu.
Shardcole said: hiyo miaka 4 kwa UDSM umeitoa wapi? Mbona naskia hivi sasa ni 3 years? Click to expand... Ni minne ndugu. Lakini kuanzia mwaka huu ni mi3 tu.
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,047 Aug 21, 2014 #5 Mnac said: Ni minne ndugu. Lakini kuanzia mwaka huu ni mi3 tu. Click to expand... Ok ahsante mkuu kwa taarifa.
Mnac said: Ni minne ndugu. Lakini kuanzia mwaka huu ni mi3 tu. Click to expand... Ok ahsante mkuu kwa taarifa.