Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
niaje ndugu,inawezekana kwa vyuo vya tanzania kuwa admitted degree ya EE kutukoea diploma ya CS ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani computer ndio haiitaji hesabu na fizikia?Pole naona kimya...
Swali ni hivi....kusomea Electrical Engineering , Je unazijua hisabati kwelikweli na pia fizikia...yaani kwa elimu ya bongo, hakuna kubabiababia au watakula kichwa.....
Maana hata ukipata nafasi kama hivyo viwili ni mtihani , basi jiendeleze tu na masomo ya computer ujiajiri.....
Inawezekana. Inategemea na chuo.niaje ndugu,inawezekana kwa vyuo vya tanzania kuwa admitted degree ya EE kutukoea diploma ya CS ?
CS haihitaji maths au fizikia iliochangamka kama EE,Kwani computer ndio haiitaji hesabu na fizikia?