Pole naona kimya...
Swali ni hivi....kusomea Electrical Engineering , Je unazijua hisabati kwelikweli na pia fizikia...yaani kwa elimu ya bongo, hakuna kubabiababia au watakula kichwa.....
Maana hata ukipata nafasi kama hivyo viwili ni mtihani , basi jiendeleze tu na masomo ya computer ujiajiri.....