Kusoma hadithi za kiswahili

Makedha

Senior Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
167
Reaction score
53
I was wondering if there were sites (like Fictionpress.net for example) where i can find stories, but in swahili. Do you know any? I'm looking for a good swahili novel/story to read, but i haven't found any until now...
 
Ngumu sana mamii... Vitabu vingi vya fasihi ya Kiswahili viko maktaba zetu katika mfumo wa hardcopy.... Niko intouch na TUKI, nitashauri kitu kama hicho kwenye kongamano lijalo. Ila kwa sasa tuendelee kutumia njia zilizopo, mfano, unaweza kuwa mwanachama wa TLS, ukipata muda utembelee maktaba zao Tanganyika nzima ujisomee vitabu.
 
waoooooooo Mphamvu, itakuwa nzuri sana hiyo
 
Tunashukuru mphauvu kwani hata mimi nimekuwa mpenzi mzuri sana wa hizi stori za kiswahili kama wata weza kutuwekea kwenye tovuti nitafurahi sana thanks a lot
 
waoooooooo Mphamvu, itakuwa nzuri sana hiyo

Usijali mami, ni jukumu letu kuhakikisha wapenzi wa Kiswahili wanapata wanachokitaka kwa njia inayofaa... Just keep in touch.
 
Tunashukuru mphauvu kwani hata mimi nimekuwa mpenzi mzuri sana wa hizi stori za kiswahili kama wata weza kutuwekea kwenye tovuti nitafurahi sana thanks a lot

Count on me, tukiwa tayari tutawataarifu, aidha kwa public announcement, au humu humu jamvini.
 
I was wondering if there were sites (like Fictionpress.net for example) where i can find stories, but in swahili. Do you know any? I'm looking for a good swahili novel/story to read, but i haven't found any until now...

Tafuta storika ukasome vitabu vya hadithi za kiswahili
 
Soma vitabu bila kikomo ndani siku 30 kwa tshs 3000. Storika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…