Kusoma kisha kukosa ajira ni kupoteza muda?

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,241
Nimekaa chini nikajiuliza sana hivi ukisoma halafu ukokosa kazi je utakua umepoteza muda wako? Maana kama umetutumia miaka zaidi ya mitano kusoma tena kwa presha za walimu na malecturer halafu hamna chochote unachokipata kupitia hayo mavyeti, then unakuja kuwa machinga, thamani ya elimu yako itakua ipo wapi?
 
ELIMU NI MWANGA LKN USIWE GIZA KWENYE MACHO YAKO.
 
Kusoma kunakuwezesha kupambanua mambo na kupata uelewa unaoweza kukusaidia kuishi bila kutegemea kuajiliwa
 
You never knew value of something until you loose it 🚶‍♂️ 🚶‍♂️
 
Kama zamani kwenye debate ulikuwa mstari wa mbele kusema EDUCATION IS BETTER THAN MONEY, sasa huyo money ndiyo anakuonesha sasa yeye ni nani unless umuombe sana msamaha
 
Let me say what all of you are thinking , nafasi za ajira tunazo au hatunazo?
 
Kwanini usijiajiri mwenyewe mkuu, tumia elimu yako kujiajiri. Kushindwa kujiajiri kupitia elimu yako unapaswa kujilaumu na kujiita kwamba bado hujaelimika na elimu uliyosoma, na vyeti tu. Ni hayo tu mkuu.
 
Hapana.

Unaweza ukasoma usipate ajira ila ukajiajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…