Hivi shule zinasomwa kama Fasheni au zinasomwa kwasababu zinahitajika??? hivi unaweza ukaniambia huyu mtu mpaka anamaliza bachelor mpaka sasa hajui nini anatakiwa kufanya?? kweli Bongo maisha ni kubahatisha.Habari zenu wataalamu wa Jf.
Nimeombwa ushauri jamaa yangu.KUWA JAMAA YEYE KAMALIZA BARCHELOR YAKE YA bcom-finance mwaka huu na anataka kuendelea na kusoma mastaz so kanifuata tushauliane Asome mastaz ya coz ipi?UKILINGANISHA NA COZ YAKE AMBAYO ipo marketable.MZAMINI yupo na ataripia tuition feez yote na ndo anasubilia jibu.
Nisaidien nikamshauri friend wangu.
Hivi shule zinasomwa kama Fasheni au zinasomwa kwasababu zinahitajika??? hivi unaweza ukaniambia huyu mtu mpaka anamaliza bachelor mpaka sasa hajui nini anatakiwa kufanya?? kweli Bongo maisha ni kubahatisha.
Kuna kozi in Financial Engineering (MSc. Financial Engineering), ni nzuri sana kwa sasa due to Economic and Industrial movement. Sina uhakika kama Tanzania hiyo kozi ipo, ila kama mzamini atakubali kumsomesha mpaka nje; yeye atafute hiyo kozi na afanye. Ila hesabu lazima ziwe zina panapanda sana kwamaana kuna mambo ya Econometrics, Financial Modelling etc etc
Kuna watu wengine wanaudhi, na wanazidi kuaibisha Elimu ya Tanzania.
Mpaka mtu unamaliza miaka 3, unaamua kwenda Masters bado haujui nini unachopaswa kufanya.
Msiwe wavivu wa kufikiria.
Mzee watu wanatofautiana ndo maana kuna tofauti kubwa kati ya madarasa na elimu.Ndio maana tumeuliza hili swala.
kama alisoma finance,mwambie hiyo mastera apark kwanza asome ACCA au CPA,masters bongo sio issue,MBA kila mtu aliepita chuo anayo!ni ushauri tuu lakini,but its truth.