Natafuta ushauri na maoni ya chuo kinachofaa kusoma by distance/online learning MBA au project management kinachotambuliwa na TCU. Nimekuwa najaribu kuangalia vyuo vya India but its a bit tricky. However; cost in terms of tuition fee is also a consideration.
Mkuu flyn rider, nashukuru sana. Nimejaribu sana kwa vyuo vya UK na admissions nyingi nimepata. Ni parefu sana ukitaka kusoma UK na Australia na hususan kama unajikamua mwenyewe kulipia ingawa nakiri ubora wa elimu. THANKS A LOT
Kidzumbe, nadhani kwa option yako ni rahisi zaidi kupata chuo kuliko option yangu. Nadhani kwakuanza, nikutambua course unayotaka kusoma ndio utambue chuo. Ukija jukwaani na course utapata ushauri wa kutosha naamini