mdau nenda south africa,turkey ada ni bwerere...ila kama unataka usome na kujiingizia kipato nenda norway,,,hawana ada hata kwa international student...ilaunatakiwa pale ubalozini watakufanyia process ya kufungua account norway ambayo unatakiwa uweke not less than 20m kama utaratibu hawajabadili,,,,hii ni kwa ajili ya ubalozi kujirizisha kwamba una pesa ya kuishi kule,,,,ukifika kule hamna ada kabisa hata ukitaka hadi PHD...nenda kasome na ubebe box ukirudi bongo una cheti na mtaji....kwa ushauri zaidi waweza kunipm