Habari wana jf,kuna kozi mpya ya masters imeanzishwa mwaka huu 2013/2014 pale mzumbe university,je kwa mtu ambae ana bachelor of arts with education{BA.ED} anaweza kusoma hiyo kozi ya masterz health monitoring &evaluation? au n maalum kwa watu wenye bachelor za mambo ya afya tu? vipi kuhusu upatikanaji wa ajira na ushindan sokoni? je mtu wa BA.ED akisoma hyo kozi ya M&E hawez kupata ugumu wa kuajiriwa simply b'coz hana msingi wa kozi za health? najua wahusika wa mzumbe na wadau wa mambo ya afya mpo humu ndani naombeni majibu na ushauri tafadhali!!