Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Habari zenu wadau, ni Bob tena katika moja na mbili.....
Zamani wakati bado hakuna vifaa kama saa kwaajili ya kutazama muda, watu walikuwa wakitumia mbinu hii kujua wakati.( Sundials)
Walichora duara chini na kuandika namba tofauti za muda, kisha kuweka kijiti katikati.... Kadri jua linavyopita, na kivuli cha kijiti kile husogea katika namba moja hadi nyingine... Na hivyo kutoa tafsiri ya wakati huo ni wakati gani au saa ngapi...
Kwa mujibu wa sayansi, Jua halifanyi movement, bali dunia ndyo inazunguka.
Je, kama ukiweka kijiti chini, kivuli chake kikasogea, hayo ni matokeo ya mzunguko wa jua au dunia?